Matthew 8:34

34 aKisha watu wote wa mji huo wakatoka kwenda kukutana na Isa. Nao walipomwona wakamsihi aondoke kwenye nchi yao.
Copyright information for SwhKC